Mhe Baba Levo hongera, ukiwa bungeni tunaomba umshauri Waziri wa Fedha kama taifa tuna haja yakua na Account kwenye Keka App, kisha baada ya TRA kukusanya mapato watafute ODDS 2 tu ili ku double mapato kwa ajili shaghuli zaki maendeleo !! 😂Naiona Tanzania ya BETTING
Manchester United labda apewe Mtu wa Mungu Tony Kapola. Vinginevyo united mmeisha kabisa. Probably mmiliki wenu juzi alipokuja alifanya maungumzo ya awali na TONY ?
Do we really need a stand-up comedy platform in every region? Arusha is proof that sometimes silence is funnier. Mimi nadhani Arusha tungejikita zaidi na HIPHOP battles eg. SUA ……���………… Once you remove Clayton Msosa, the rest all Noise.
Katika mambo ambayo uongozi wa KARIA umesimamia kwa nguvu kubwa ni pamoja na kufungia watu wenye mchango mkubwa katika soka kwa kosa la kutoa maoni ambayo yange tazamwa pasipo hofu ya kukosolewa yanatija katika kesho ya soka letu.
Uongozi wa TENGA haukuogopa kukosolewa !!
Zelensky: have you been to Ukraine?
JD Vance: I’ve seen lots of videos online, I know what I’m talking about.
Not sure I expected much more from a guy who wrote a book about humping couches and his Mom’s meth habit.