Mkurugenzi Mkuu PDPC - Dkt. Emmanuel Mkilia ametoa wito kwa vyama vya siasa kujisajili PDPC ili kuimarisha Ulinzi wa Taarifa za wanachama wao.
Dkt. Mkilia amesema hayo wakati wa ufunguzi wa semina ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Viongozi vya Vyama vya Siasa nchini
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi ameitaka Jamii kulinda Taarifa zao Binafsi kwa kuhakikisha wanazitoa kwa mtu sahihi tu.
Mhandisi Mahundi amesema hayo Bungeni Dodoma wakati wa Uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya WMTH 2025/26