Kama mwanamkeπ hakutakiπ broo π mwache aendeβ alaf mpe na pesaπ΅ ya maji ya kunywa maan anapo enda kuna ukameππΌβπΎ
#PerfectFact#WiseboyRaaj
Kwenye haya maisha OGopa sana kutegemea furaha kutoka kwa wanawake ..
kama haiwezekani kuwa na mmoja kuwa mwenyewe #kamamimiπ sio kuwa na wanawake wengi uki tafuta Mtu sahii ..
#PerfectFact#keepit π