Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
@eastafricatv @Tinolove15 Zamani nilikua nadhani io kauli n kwel imeharibu mahusiano meng ya watu lakn kumbe sio kweli io kauli ni ya kijasiri sanaa wachache wataelewa
@SimbaSCTanzania Daah sema wanetu jau snaa dabi imewapa confidence namna hii yani mnamiss kupost muda wote haya bhn 😂🙌🏾mmekua kma mwanafunzi wa sec akiona ubwabwa na arage la nazi anapatwa na kihamu cha kusoma math muda wote