Salaam Ndugu Zangu.
#BajetiYaWakulima IMEPITA ✅
Awali ya wote nichukue fursa hii kuwashukuru Viongozi wenzangu na Menejimenti na Taasisi mbali mbali za Wizara ya Kilimo kwa kufanikisha kwa uweledi na umahiri mkubwa uwasilishaji wa hoja ya Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Maonyesho ya ‘From Farm To Lab’ yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
Niwashukuru wadau wote walioitikia wito wa kuhudhuria na kuwa na sisi kwenye Bajeti hii ya Kihistoria ya Wizara ya Kilimo.
Pamoja na Vipaumbele vyetu 6 tunajivunia kuwa #BajetiYaWakulima imejikita kwenye mabadiliko yatakayoleta tija kwenye
1)Korosho
2)Sukari
3)Tumbaku na
4) Kahawa reforms
Shukrani za dhati ziende kwa Waheshimiwa Wabunge wenzagu kwa kuwa na imani na Wizara na kazi zake kwa mara nyingine, tunashukuru mapendekezo na ushauri wote tuliopokea na tunaahidi kufanyia kazi kwenye utekelezaji. Tunawasihi msichoke kutufikishia mawazo yenu pale mnapoona tunaweza kuboresha utekelezaji wa bajeti hii na mipango yake.
Kwa nafasi ya kipekee Nimshukuru Dkt @SuluhuSamia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwekeza kwenye Sekta Ya Kilimo. Hii imani uliyotupa, hakika hatutokuangusha.
Tunaahidi kusimamia utekelezaji kwa umahiri na uzalendo ili kuleta tija kwenye maendeleo ya Taifa hili na kufanikisha maono mapana ya Maendeleo na Mapinduzi kwenye Sekta ya Kilimo.
Taifa Letu, Kesho Yetu.
Kazi Iendelee
Today, we mourn the loss of Bob Junior, the legendary lion king of the Serengeti. He was a symbol of strength, courage, and resilience, a true ruler of the African wilderness.
A fitting tribute 👇
"Mafanikio katika maisha ni nidhamu,imani na matumaini. Ukiwa na haya 3 hakuna mlima utakaoshindwa kuupanda,hakuna ukuta utaoshindwa kuruka." ~Togolani Mavura.
To commemorate the 60th Anniversary of Cooperation with TANZANIA, JICA shares a video on its YouTube site. Please enjoy the long version, if you might have time.
(Short : 1min)
https://t.co/UZ3I20UJlJ @YouTube
(Full : 15min)
https://t.co/6ItGghPKzu @YouTube
On 9th-10th February 2023, the University of Dar es Salaam together with Japan International Cooperation Agency (JICA) in Tanzania held a “Japan- Tanzania Innovation Forum” with the theme “Innovation for National Growth and Sustainable Development”.
📢Calling all Master's and Ph.D. students! Make a difference in the global fight against #ClimateChange with the Carbon Sequestration Fellowship.
4-month scientific internship focused on GHG emissions & carbon storage in agriculture systems.
✅Apply now! https://t.co/aEIQfZBHIa
"Si kila tuhuma hujibiwa. Nyingine hazijibiki kutokana na ufundi na ustadi wa watungaji wake,na kujaribu kuzijibu ni kuzikuza. Kuonyesha hekima ndio jibu
sahihi kwa tuhuma hizo. Kufanikiwa kwa tuhuma hutegemea sana papara zako." ~Togolani Mavura.
Muhimbili huduma ya kuweka puto ili upungue mwili inazidi kupata wateja kila siku, wengine wanatoka nje, huduma hii sio ya upasuaji, wanatumia njia ya mdomo kuingiza puto maalumu kwenye tumbo la chakula ili kupunguza ukubwa wa tumbo na kukufanya ushibe ukila kidogo tu.
Nawatakia kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu wa Taifa leo Novemba 14, 2022. Naamini mmeandaliwa vizuri na mtafanya vizuri ili muweze kuendelea na safari yenu ya masomo. Nawaombea utulivu na afya njema wakati wote wa mtihani wenu.
@jmustafajr@AfCFTA@SuluhuSamia@TZMsemajiMkuu Tupanue wigo wa kupata kodi kwa kuongeza volume ya biashara across and equally. Ni vizuri ku empower makundi machanga lakini tuongeze tija na uwingi wa biashara. Biashara inahitaji mikakati na elimu ya masoko. Ni vizuri kuangalia angle hiyo pia. Itakuja kupunguza makali ya tozo.