@Tinolove15 Alikuja shule kipindi nasoma visinting day na kulikuwa na mahafali sikuiyo na alikuwa na wadogo zangu wawili hakuja na chakula Sasa madogo njaa zikawa zinawauma ikawa kasheshe akaend dinning kuforce ili tule na majanja ,. 😞😔 Wale staff walimtolea maneno makali sana💔🥹
Moja zaidi ya kitu muhimu kwa mwanaume ni;.
"kuzoea UPWEKE"
Kuna stage kwenye maisha hutohitaji mtu yoyte zaidi yako mwenyewe😞
Zoea kutunia muda mwingi peke yako 🫵
kama una ndoto kubwa za kutimiza ,. hii stage haiepukiki🙌🫰
@NyandaAmosi