Siku zote mtu hukamatwa kwa Tuhuma na Makosa ulotenda ama kusadikika. Kazi ya Mahakama ni Kuchambua Mbivu na mbichi, Mtu akienda MAGEREZA manake kakutwa na hatia.
CHADEMA mnapaswa kuona aibu kwa kuwa na Kundi Kubwa la Wahuni na Wahalifu ambao ni wanachama Wenu.
@blaque_carter@TanganyikaLaw Punguzeni Mahaba na Mtu, Jitu Limechochea Mauwaji na Kusababisha Mauwaji ya Wanyonge walio wengi alafu mnashupaza Shingo kuhamisha Hoja.
@mwenyenchii Kwamba, Mtu akicheza ndio Shida?
Kwamba, Ukiwa Kiongozi ndio Tufute Historia ya Maisha yako ya Shida na Raha za kabla ya Uongozi wako?
Na huyu Mange kwanini aone Kila Mtu Mbaya?
Mange hana Kiongozi wa Sifa na Vigezo kila siku yeye anaona Viongozi wote wabaya tu.
Mahakama ina Kazi yake ya Kidunia Kuamua haitegemei Vitabu vya Dini.
Mahakama ina Miongozo yake yakisheria ya Utendaji kazi wake.
Kanisa linahusika kwenye Imani ya Kila anaeitumikia Mahakama kwa Kula Kiapo cha Imani yako Husika ili Ukaseme na Kutenda Haki na Kweli kwa Kila Jambo Unapokuwa Mahakamani.
I strongly agree with the views expressed by Hon. Dennis Londo, Tanzania's Deputy Minister for Industry and Trade, in an interview with CCTV. The China International Import Expo (#CIIE) is not only to sell the products, but actually to start to learn from Chinese experience what China did to achieve whatever China achieved. Click on the video to hear what representatives from various countries said about the CIIE.
Mrembo wa Kitanzania, Eve Godwin ameibuka Mshindi wa Shindano la Miss Africa International 2026 lililofanyika Nchini Nigeria, na kuiwezesha Tanzania kuendelea kungโara katika mashindano ya urembo ya Kimataifa.
Ushindi huo umetangazwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 2, 2026, huku pongezi mbalimbali zikitolewa kwa Eve Godwin pamoja na Timu iliyokuwa nyuma ya ushiriki wake, ikiongozwa na Nazimizye Adam Mdolo, Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania.
Ushindi wa Eve unaongeza mafanikio ya warembo wa Tanzania katika mashindano ya Kimataifa mwaka huu, baada ya Jihan Dimack kutwaa taji la Miss Grand International 2026 Nchini Thailand, Rossie Uisso kuingia 12 bora ya Miss Global International na Sharon Julius kushika nafasi ya tatu katika Mashindano ya Miss Elite World yaliyofanyika Nchini Misri.