Mtu anaomba kibali cha kujenga jengo la gorofa 10 kariakoo haulizwi wageni wake watapaki wapi anapewa kibali.. kwa nini floor moja isiwe mandatory parking?
Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia. So kama Kuna mama anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
@MwansasuSnr@Ninja_Damour SEMA Kwa upande mwingine nyuma mwiko mngetulia tu.wakati wa sakata la dabi mlisema nyie ndo nchi inawasikiliza mnachotaka kwahyo hata hili la 100 million tumewasikiliza pia
Unahamasisha Mashabiki walipe ada na kujisajili Uanachama wengine kuhuisha Uanachama halafu Kiongozi wa Taasisi anachukua hela anapeleka kwenye Chama chake.
Bullshit stuff's
Hekima ndogondogo zinawashindaje kundi kubwa la watu kwenye kufanya maamuzi?
Watu wengi waliingia Bungeni kwa Mgongo wa Mwendazake, na wengine waliingia kwa nguvu zao lakini walijisahau kuhudumia wananchi, majimboni wamekataliwa kwenye kamati za siasa za wilaya na mkoaโฆ acheni kuzua Taharuki rudini mtaani.. Kifo ni Kifo