@AbroadTanzania Hawa wanatuaonaga wajinga sana๐๐๐haya tuambie ilo sanduku limekaa ardhini miaka mia ngapi na lisipate kutu?..kufuli la 2020 na kapeti la mwaka 2025๐๐๐๐
@njiwapori_@chief_mapesa Yaan ndo kitu nilishindwa๐๐๐ yaan mtu anaweka mil.1 ili apate 500k๐๐๐๐nikiweka mzigo mkubwa nataka faida iwe mara 3 au 5 ya niluchoweka,yaan akinipiga anipige na mm nikimpiga nimpige haswa๐