Niliona siku moja @privaldinho akilaumu man u hatuna coach kwa sababu ya timu kupata matokeo mabovu na niliona @George_Ambangil ukimwambia awe na subira lakini bdo aliendelea kukushambulia niseme tu @privaldinho even man anapoteza ila matumaini yapo
@PMeliara@iamdamiano22 Ni sawa tu, x nina more than 10 years na hates hawajawah kuisha, kubet football na basketball najua, mapanter wa hapa x wengi nimekuwa kwenye magroup yao na ninaziona kaz zao ila hakuna kama @iamdamiano22