Health CS Mutahi Kagwe: If you know that the person selling you vegetables is openly speaking and spitting on your cabbages, why buy them?
'If a matatu is obviously not keeping Covid-19 measures, you have a choice.'
@dannmule@ntvkenya jambo la busara kutoka kwa magoha kufungua shule, lakini naomba wale wazazi walikuwa wamelipia karo wasilipe chochote mwaka ujao. #ntvjioni
@dannmule@ntvkenya jambo la busara kutoka kwa magoha kufungua shule, lakini naomba wale wazazi walikuwa wamelipia karo wasilipe chochote mwaka ujao. #ntvjioni
@dannmule@ntvkenya sijui kenya tunaelekea wapi?? Kwa hotuba ya raisi tulitarajia hatoe curfew, wenye hawakuwa na kazi kwa sababu ya curfew wataendelea kuteseka tu. Kufunguliwa tu, kumefaidi wachache. #NTVJioni.

BREAKING: Containment of Nairobi, Mombasa and Mandera lifted from 4 AM tomorrow, President Kenyatta announces. Curfew remains in place for a further 30 days.
#PresidentUhuruKenyatta
Wizara ya Afya imetangaza wahudumu wa afya 186 wameambukizwa virusi vya Corona nchini na wanaendelea kutibiwa katika maeneo tofauti.
#NTVJioni@hellenaura1
@Nuru_AbdulAziz@ntvkenya swali langu ni, je serikali itaweza kudhibiti umbali wa mita moja na nusu darasani, kama darasa moja linabeba wanafunzi tisini??? #ntvjioni