@HildaNewton21 Kwa Makamu wetu John Heche, hatutaki kusikia ujinga. Ni kiongozi wetu Mwadilifu, mwenye huruma, ana maono na nchi yetu kama alivyo Mkt Tundu Lissu.
@chapanombombwi@TunduALissu Jambo la kusikitisha, kukatisha tamaa naona hao wengine tangu mwaka 2022 wanasubili haki yao ya kusikilizwa kwenye mahakama ya rufaa. Jamani mambo haya yasipotazamwa kwa uzito wake unaweza usijue lakini utaratibu huu ni MBAYA wala hakuna lugha nyingine kuuelezea.
@Royal_Tv_Tz Uhakika huo unapaswa kuwa wa kimfumo, lakini kwa mfumo dhaifu wa haki jinai tulio nao hamtaepuka hali hii iliyopo....maana ndio alternative pee.