@pastajoshuatz Ndo mana walisemaga sio waafrica wenzetu wanatumia neno tu moroco ila sio wa moroco first eleven nzima wazaliwa wa nje utasema ni moroco hao
@EsirEid Inamana ndugu Isa mfano diamond anavopiga hela zake kwenye show tena nying mfano 300+M je akipewa deal la 100M akatae kisa anapiga hela nying kwenye show? Guys wale ni vijana wanahitaji vipato vingi ukiwa unabet unakula haimanishi ukipewa deal lingne ukatae
@EsirEid Sanamu haijawahi kuwa Mungu bro ila manake ni kwamba hapa pia kuna jamii ya christians au kuwa hapa ni kanisan lkn sanamu sio Mungu na ndo mana sehem ya waislam wote huwez kuta sanamu manake inakuwa inakupa ujumbe kuwa hapa no Christians
Kesho Yesu anatundikwa msalabani na sisi kama wakatoliki kesho tunabusu msalaba kutoa heshima kwenye wokovu uliotundikwa msalabani tuwakere prostant๐๐๐
@Zephania_Ndaki Hiii dini IQ ndo kitu wamekosa wao wanaamini kwenye kumupigania Mungu wao guys Mungu wa kweli hapiganiwi anatupigania sisi tusio na nguvu si kazi yetu kutangaza matendo yake makuu tu