@DChogero88796 Know your worth and you won’t be used. Value yourself and others will too the problem is putting yourself in situations where you can be used. 📌
Kuna muda mioyo yetu ilipenda sehemu ambayo hatukuwahi kuthaminiwa
Tulinyanyaswa lakini tulivumilia, siyo sababu hatukuwa na pa kwenda bali tuliwapenda
Tulipigwa Blue tick, tukakatiwa simu, tukanyimwa muda wao. ila
Baadaye tulichoka tukaondoka kwa maumivu ili Leo tuwe wa amani
بعض البشر قلوبهم مثل أوراق الخريف جافة، مهما رويتها لن تخضر. فلا ترهق نفسك، اتركها للرياح
Baadhi ya watu mioyo yao ni kama majani yaliyokauka kwenye msimu wa Kiangazi, hata uyamwagilie maji kiasi gani kamwe hayawezi kuwa ya kijani. Usiichoshe nafsi yako, yaache yapeperushwe na upepo.
قد يفتح لك الغريب نافذة أرحب من أبوابٍ أوصدها المقرّبون
Huenda mtu wa mbali akakufungulia dirisha pana zaidi kuliko milango iliyofungwa na watu wako wa karibu.