Director-A2Z IT Services & A2Z Real Estates, President-TZ Basketball Fed.(Rtd); President-TZ Professionals Net.; Fmr Director of ICT-TPA; Member of NEC-CCM(Rtd)
Nimemweka kwa maombi leo J2 na kila la heri Prof. Janabi ashinde nafasi ya Mkurugenzi Mkuu Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Prof. Janabi 2017 aliongoza jopo la madaktari na kufanikiwa kuokoa maisha ya Mama yangu, ahsante Rais Mhe. @SuluhuSamia kwa kuongoza kampeni nzuri.
Happy birthday our daughter Princess.. May Almighty God of Glory bless you and we wish you all the best in your final (GCSE) year 11 exams..!!!
Heri ya siku yako ya kuzaliwa Mwanetu Princess, Mungu akubariki na akujalie kila la heri katika mitihani yako ya sekondari kidato cha 4
Happy birthday to our Son Paxton, May Almighty God of Glory bless you, thank you for following my footsteps in choosing career in the Technology World, all the best in your studies, Bachelor of Science (Hons.) in Computer Science, Lancaster University, UK ..!!!
Hongera kwa Simba Sports Club kwa kufika fainali ya CAF Confederation Cup, hii ni mara ya pili Simba kufika fainali za mashinfano ya vilabu Africa mara ya mwisho ilikuwa 1993 ambapo tulipoteza mchezo wa mwisho ni matumaini yetu kuwa safari hii Kombe litabaki TZ..Simba Nguvu Moja.
Ndani ya boat ya Azam on the way to Zanzibar kuishangalia Simba (Tanzania) dhidi ya Stellenbosch (South Africa) CAF Confederation Cup Semi-final leg 1 to be held at New Amaan Stadium, Zanzibar.. Mungu ibariki Simba , Mungu ibariki Tanzania ..#Hatuiishii Hapa Happy Easter to all.
Jana nilipata nilishiriki mazishi ya Mwanzilishi wa Kitengo MOI Prof. Philemon Sarungi, pia alikuwa Mbunge wa Rorya na Waziri wa Wizara kadhaa, aliwahi kuwa M/Rais wa Skauti Tanzania wakati huo mimi nikiwa ni Kamishna Mkuu Msaidizi, alikuwa ni mnyama mwenzangu. RIP Prof. Sarungi
Birthday dinner yesterday with some family members and friends.. Glory to Almighty God ..!!!
Zab 133:1-3 ..Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Attending a special dinner gala celebrating the 5th anniversary DTB bancassurance partnership... I am one of the very satisfied customers of DTB Bank Tanzania Plc, naishukuru sana benki hii kwa mimi kuwa mteja wao wa shughuli za ki benki na bima ..!!!
Nikiwa na mgeni wetu Simon Yoder kutoka USA katika uwanja wa KMC kuishangilia Simba Sports Club dhidi ya Tanzania Prisons Football Club katika @NBCTanzania Premier league... Ukiona Yanga anaongoza ujue Simba hajacheza...Ubaya Ubwela.. Simba.. Nguvu Moja..!!! @SimbaSCTanzania
Mtoko wa J'Mosi na mgeni wetu Simon Yoder from Eastern Mennonite University (EMU), USA tunaishi nae home kama sehemu ya mafunzo yake baadae atatembelea Ngorongoro na Serengeti na baadae ataenda kufanya kazi za kujitolea katika hospitali ya KMT Shirati na kumalizia ziara Zanzibar
Heri ya miaka 48 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hongera nyingi kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji mzuri wa Ilani ya uchaguzi na uongozi mzuri #T2025SH🇹🇿✅ #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Happy birthday H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania.!
Heri ya siku yako ya kuzaliwa Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan , Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mungu akujalie kila la heri, mitano tena #T2025SSH@SuluhuSamia@ccm_tanzania@ikulumawasliano
Mtoko wa katikati ya wiki na mgeni wetu wetu Simon kutoka USA, enjoying Swahili food at one of the best Swahili food restaurant in Dar..Golden fork Mikocheni ..!!!