Relax bois. Success iko so guaranteed as long as unajituma. Smile at that waiter na umwambie anakaa poa, gotea dereva na umshow akue na siku fiti, uliza mathe wa kibanda ameamka aje. Be a happy soul to yourself😁na to those around you. Your win is imminent, act like it buana💯
Na hii maisha ukianza kuangalia kile mwenzako anafanya utasumbuka akili sana. There are those who don't necessarily struggle at all,Amalize form 4,equity scholarship,akimaliza wampatie job,afungue kampuni yake,asonge akisonganga. Kuna wale pia mtakula nao vako kidogo lakini nyota yao inawaka, greencard mliapply pamoja yake iingiane,anasonga mtakua mnanongea whatsapp the first three months ukireply status zake "Bro,hiyo snow ni baridi sana?" before safaricom wazime Line yake juu hatumii,you'll never hear from him again. Kuna wale pia watapata pesa mkiwa nao, miaka kadhaa wasote,miaka ingine tena warudi Line,wewe ukiwa tu hapo. Yani nikama network ya wengine ikiwa 5G yako iko ni 2G,saiingine inarudi 1G buana. And unfortunately theres nothing you can do about it,they'll tell you to work smart as if you're not trying,na huwezi jaribu wizi juu unajua siku unakuanga ndio watu hushikwa. So deep down you know you're left with two options,Ni either uvumilie ama Uchukue kamba.
Kukosa na kutegemea mtu mwingine for survival is one of the worst feelings mahn I pray Kila mtu njia zake zifunguke na kama ukona fom onyesha Bois wako hii keki ni enough for everyone
Study urself bro, study ur choices, beliefs, desires. be conscious of why u act the way u do. understand ur fears and insecurities. understand why u are who u are.