1. Wekeza kwenye akili yako.
Huo ndio uwekezaji wenye faida kubwa kuliko yote maishani.
2. Saidia watu wapate wanachokitaka. Ukifanya hivyo kwa uaminifu, nawe utapata unachokitaka.
3. Juhudi bila uelekeo sahihi ni kujichosha tu. Kabla ya kukimbia, hakikisha unaelekea sehemu sahihi.
4 .Mafanikio huwafuata watu wenye tabia sahihi, nidhamu, na wanaofanya kila siku.
5. Ili uaminike kwa kikubwa, anza kuaminika kwa kidogo.
6. Anza kui-invest na ku-save kidogo kidogo, nidhamu hiyo itakufundisha kutafuta zaidi, kuwekeza zaidi, na kukua zaidi.
Kujiamini si kitu unachozaliwa nacho, ni kitu unachojenga.
Kila wakati unapokabiliana na changamoto na kuendelea kusonga mbele unakuwa na nguvu zaidi.
Ushindi mdogo huunda imani na uwezo wa kufanya zaidi.
😂hivi mnanichukuliaje?! Yani mi niache mambo yangu nije space kujieleza kwa matahira na vitoto vinanuka mavi bado hata kujitawaza vizuri bado havijui?!
Nishasema nlichosema sina muda wa kujieleza kwa wehu mimi
Unakuta eti wanaume wamekaa kabisa standby kuhoji story za ugomvi wa madem au dem na jamaa, hivi nyie ni wazima?!