Ukweli ni kwamba watu wengi waliofanikiwa na kufika sehemu salama leo, walishikwa mkono na wazazi wao. Hakuna mzazi anayetamani mwanawe aione kesho mbaya. Wazazi wanaweza kuwa na mfumo wa zamani, lakini mara nyingi wanachotafuta ni usalama na mafanikio ya watoto wao. Tuwape baraka, tusikilize ushauri wao, na pale tunapotaka kufuata njia yetu, tufanye hivyo kwa hekima, si kwa dharau. 🤝
ROBERT GREENE
Mwandishi mashughuli wa vitabu vyenye maarifa ya kuwapa watu mamlaka katika jamii zao
Moja ya vitabu vyenye maarifa ynayompa mtu nguvu zaidi dunian ni
-THE 48 LAWS OF POWER
-THE ART OF SEDUCTION
-THE LAWS OF HUMAN NATURE na
-MASTERY
Watu wengi wamedai nianze kuvichambua vitabu hivi kwa ufupi na kwa lugha inayoeleweka(Kiswahili)
Leo nitaanza na 48 LAWS OF POWER
👇
🚨🇹🇿Yanga SC wanajua kabisa kwamba kuna uwezekano wa wao kushinda mechi zao zote isipokuwa derby
Simba nao wanajua kabisa kwamba kuna uwezekano wa wao kushinda mechi zao zote isipokuwa derby
Ila utofauti ni kwamba Yanga SC hawataki kutoa jasho sana kwenye derby, wanatengeneza goal difference kubwa mapema ili ikitokea derby imekwenda sare basi wao ndo mabingwa......mahesabu ya kihasibu kabisa haya
Mechi 3 magoli 11 na wameruhusu mawili tu
Kama huwezi kushindana nao,basi ungana nao 📌
ON THIS DAY: In 2009, Real Madrid announced the signing of Cristiano Ronaldo from Manchester United. ✍️
He went on to become the club's all-time top goalscorer with 451 goals in 438 games, win 16 trophies, four Ballon d'Or's (5 in total), three Golden Shoe awards (4 in total), three Pichichi awards and two The Best awards during his nine year spell with Los Blancos.
Incredible. 😍
Didier Deschamps had to give a bow to Mbappe after his sensational performance 👏
An incredible sign of respect from a duo who have accomplished so much together 🙌
Cristiano Ronaldo is Real Madrid’s top scorer of all time and 2nd top assister.
Karim Benzema is Real Madrid’s 2nd top scorer of all time and top assister.
Both signed in the same transfer window.
🚨 Jude Bellingham turns 23 today.
⚽️ 82 goals
🅰️ 65 assists
🏆 Champions League winner
🏆 La Liga winner
🏆 Golden Boy
🏆 Bundesliga Player of The Season
🏆 La Liga Player of The Season
🏆 UEFA Supercup winner
🏆 Spanish Supercopa winner
🏆 German Cup winner
🏆 FIFA Intercontinental Cup winner
ALL-TIME GREAT 🏴
🗣️ Cristiano: “How is it, the injury?”
🗣️Rodrygo: “Six months have already passed.”
🗣️Cristiano: "Are you feeling better?
🗣️Rodrygo: "Yes... It's a bit annoying and boring, but everything's fine."
🗣️Cristiano: "You need to be patient, everything will work out well.”
🗣️Rodrygo: "Alright, brother, thank you."
🗣️Cristiano: "Alright, brother (good luck)."
Mayele🗣
"Nimeona club ya yanga wamenipost kwenye page yao, leo hii wakionyesha vile wapo proud na mimi, ndio hivi dunia ilivyo, club ambayo nilitoka kwa uchungu na matatizo ya kujaa miguu kama vile hakuna jema niliwahi kufanya, sitawahi kupona kwenye hili💔"