RUTO IN NYANZA
President Ruto: I want to ask those leaders who are saying they are going to abolish the Affordable Housing plan, I dare ask them, what alternative plan do they have?
#KBCniYetu
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Busia wametakiwa kudumisha amani na utengamano msimu huu wa kisiasa taifa linapoelekea katika chaguzi za mwaka 2027
#KBCniYetu
Hakimu kufikishwa kizimbani:
Hakimu akamatwa Kangema akiitisha hongo kabla ya uamuzi
Anadaiwa kuitisha shilingi 170,000 kutoka kwa mshtakiwa
#SemaNaCitizen