@elonmusk Yes, but why is this an issue? Do you want Bill Gates and his associates to start working tirelessly on trying to depopulate our African continent and workforce?
After 22 long years of waiting, ridicule, and endless banter, Arsenal are finally on the verge of bringing the Premier League title back where it belongs. The patience, the belief and the loyalty. It all leads to this moment. This is our year. #Gunners
@_itsrealprosper@emabilly2001 Unaambiwa ukiiona B 2 Spirit kwenye anga lako basi ujue haijakusudia kukushambulia, ila ikitaka kukushambulia hutoiona utaona milipuko ya maangamizi tu!
@mangekimambi Fun fact: hata kama Iran lengo lake kuu ni kutengeneza nuclear, ni kwanini wamzuie wakati marekani pekee ana aroun 5200 nuclear warheads? Huoni kama hilo ni tishio kwa usalama wa dunia?
@mangekimambi Iran imekuwa ikisisitiza kwamba programu yake ya nyuklia haieleki kuwa silaha za nyuklia, bali ni kwa madhumuni ya nishati, utafiti na matumizi ya amani. Wamesema kuwa wana haki ya kuchakata uranium chini ya mkataba wa kimataifa wa kuzuia kupanua silaha za nyuklia.
@mangekimambi@m16_dembele Kwenye hili wewe kama dada wa taifa umekurupuka, kuna motive nyingi sana za marekani kwenda kuishambulia Iran, usidhani sababu ni kwenda kuwaokoa wa Iran, la hasha ( hizo ni western propaganda) sababu kuu ni kuangamiza uwezo wa Iran kutengeneza mabomu ya nuclear.