@KennedyMmari Paragraph ya pili.
Pamoja na sababu nyingine, pia kuna changamoto ya uthubutu kwa mtu mmoja mmoja, na kupeana fursa.
Nchi nyingi ukienda, utawakuta waKe & waUg wengi sana. Na wakifanikiwa wanawapa mchongo wenzao nyumbani kwenda kutafuta fursa na wao. waTz sasa...
@ms__romy@DadaConso Tatizo sio utamaduni wetu. Hata ofisi ikiwa na akila kitu, bado watu hawatabeba. Na ikitokea wachache wanabeba chakula, wanaonekana wanajidai.
@atuu_musa@thomasjkibwana Inabidi pia wenyeji wa Tanga nao wachangamkie fursa ikiwa ni ajira pamoja na fursa nyinginezo kama kutoa huduma mbalimbali nk.
Wasibweteke
Never Accept Water at a
Job Interview (Here's Why)
They offer you water.
Most people think it's just politeness.
It's not.
For experienced recruiters, it's observation.
The moment you take the glass⦠show more
@Joesottes@EngineerMbwa Hii si sahihi.
Vitu vyote ulivyotaja hapo si kweli. Ukipewa maji its out of courtesy.
Kinachoangaliwa kwenye oral interviews ni uelewa wako, kujiamini na namna unavyojibu maswali.
Ndugu, usitishe watu wala usifanye maisha kuwa magumu kiasi hicho.