Lissu: Unataka urithi uwe wako uwe wa Mugabe?
Kwa urefu wa mahojiano haya maalum kati ya @TunduALissu na Mwandishi wa BBC @awamisammy fuatilia vipindi vya BBC katika radio, runinga na youtube ya BBC Swahili
@Ntobi_@TunduALissu Sasa wewe Dogo, umeharibu tayari!! Na hao unaowapigia chaguo hawataweza kuchaguliwa kwa kuwa tunajua wapo kama wewe. Ulianza na Diaspora ukatuomba radhi, kumbe bado hujabadilika. I feel sorry kwa CDM!