@sule97059389@royalmediatz Ni kweli haki ya NGONO kwa sababu tendo litakalohusika ni la Uume kuingia Ukeni tu! Hakutakuwa na matendo mengine yanayokamilisha TENDO LA NDOA mfano Kulinda Usalama wa mwenza, Kutunziana Siri, Kujadili kuhusu Malezi ya watoto na Kuhimizana Kiimani.
@rogatingalc54@kibaha_finest Hata kama ni malaya! Kitendo hicho cha kupeana mikono wengine hukitumia kwa kufanga NGONO kwa kutumia HISIA (SENSUALITY SEX) sasa iweje umwage shahawa zako bila ridhaa ya mwanamke? Acheni USENGE kumamae zenu!
@kibaha_finest Ipo hivi! Kwenye ulimwengu wa NGONO kuna jambo lina SENSUALITY (Ngono kwa kutumia sense organ). Binafsi huwa ninawaelewa wanawake wa kiislamu wanapojistiri kutopeana mkono na WAKORA. Kama ikimlazimu basi anapaswa kuweka kitambaa mkononi ili kutenganisha mgusano.
@KMuspong@doktamathew Mme na mke huwa wanafanya ngono kistaarabu! Mtiti unakuja kwa mchepuko gemu linaanziwa Bafuni, Sebuleni kisha Kitandani. Pia kumbuka kutoka Sebuleni kwenye kuangalia TV wakianzisha mtiti hapo wanaondoka huku mashine imezama kwa mwendo wa Farasi (Horse Style) kisha Doggy na popo!
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa na pumbu la mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, I don’t give a fuck!!!!’ Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
@TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.