@Veriafya Ma-Dr wanatakiwa watoe elimu kwa upana sana juu ya kisukari
Tanzania mtu mwenye kisukari anaambiwa asinywe soda wala kula vitu vya sukari(UONGO MKUBWA SANA)
Hata upatikanaji wa kisukari juu ya kula vitu vya sukari ni mdogo sana sana sanaSANA
@TheFigen_@X If I remember correctly, you were offered about $300,000 for your account(you said it), but you turned it down.
They know what they are doing