An entrepreneur. Friend. Pre-rich #tech A content creator. Strive for Progress. Not Perfection . UGLY ๐ @arsenal @simbaSCTanzania fan till die ๐ค RIP DADDY.
UZI ๐ฎ
Alikuwa Ni kijana mdogo Sana aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kusingiziwa๐ข shuka nao๐๐ฟ
George Junius stinney Jr Ni marekani mwenye sili ya kiafrika ndiye kijana mdogo miaka14 aliyehukumiwa kifo Cha kikatili kwa kuunguzwa na umeme Hadi kufa ๐ข mnamo mwaka 1944
Uendelee kununua mafuta nje ili uyatunze kwenye hayo matenki? Uendelee kununua mbolea nje ili kuendeleza kilimo chako? Uendelee kuagiza sulpher ya kulinda korosho zako kutoka Saudi Arabia? Uendelee kuagiza lami kutoka nje?
Unaelewa maana ya nchi ku-host refinery ya pipa 650k kwa siku? Wakati mwengine ficha ujinga kwa kukaa kimya!
Huku Uingereza Free Wifi ipo karibu kila sehemu.
Mfano, WiFi ya eduroam inaweza ku-connect hata ukiwa barabarani au chuoni bila usumbufu.
Speed za WiFi zinafika hadi 200โ500 Mbps.
Mfano, WiFi ya chuo chetu ina speed ya 200โ300 Mbps huku ikihudumia zaidi ya watu 26,000 kwa wakati mmoja na internet inakuwa stable.
Pia line za simu zipo vizuri sana, na watu wengi wanatumia kampuni kama Vodafone UK.
Mimi nalipia line yangu ยฃ10 kwa mwezi tu ambayo ni kama Tsh 35,000 ambapo social media ni bure , dakika za kupiga mitandao yote bure pamoja na SMS za bure.
Ukitumia Underground Train ambapo mtandao utakata , wanakugaia free Wifi ili uendeleee kupata Mawasiliano.
Yani huku usafiri na internet wamevifanya kama basic needs vitu muhimu ambavyo mtu hatakiwi kukosa ili aweze kuishi, kusoma, kufanya kazi na kuwasiliana kirahisi.
Nakaa najiulizaโฆ wenzetu wamewezaje kufika level hii?
https://t.co/u2vKGsXkGu has successfully registered 95 companies, 10 of them are tech companies that use our Bulk SMS gateway, with over 10k SMS sent monthly.
Thanks ๐ all for your support
If your GPA is 2.5 or lower, you can still get a full scholarship to study in the US for Masters or PhD.
Most people give up before they even try.
Hereโs the playbook
Kumwachia Mtoto Simu au iPad muda wote haumjengi ila unamuharibu Akili
Msikilize Prof. Karim Manji, Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili akifafanua suala hili kupitia Torch Media Tz
Video: Torch Media Tz
So far we have ๐
SaaS (Software as a Service)
PaaS (Platform as a Service)
IaaS (Infrastructure as a Service)
FaaS (Function as a Service )
BaaS (Backend as a Service)
CaaS (Containers as a Service)
KaaS (Kubernetes as a Service)
DBaaS (Database as a Service)
STaaS (Storage as a Service)
NaaS (Network as a Service)
DRaaS (Disaster Recovery as a Service)
DaaS (Desktop as a Service)
VDIaaS (Virtual Desktop Infrastructure as a Service)
DaaS (Data as a Service)
AaaS (AI as a Service)
MLaaS (Machine Learning as a Service)
DLaaS (Deep Learning as a Service)
BIaaS (Business Intelligence as a Service)
Did I miss any?
Kamari; Retail Forex na betting ni hatari kwa future ya vijana wetu. Hata kama ukiongea unaonekana unagusa hustle za watu wengine, unakaribisha matusi na kushambuliwa lakini ni bora kugusa hustle za watu wachache ili kuokoa watu wengi.
Kwa kijana uliyopo mjini, ambae huna kazi maalumu una life la kuunga unga tu.
Unajipotezea muda bure.
Nunua Laptop, WiFi, smartphone, funga virago vyako nenda kijijini kajifungie huko.
Jifunze most profitable skills jipe miezi 6.
Baada ya hapo rudi mjini.
Usipoteze muda mjini
Unaenda kufanya kazi sehemu unagundua waliokuzunguka karibu wote ni wavivu!! Ni rahisi sana kwa wewe kuingia kwenye mfumo wao; kuliko kujitofautisha nao. Jitahidi usiingie kwenye utamaduni wa taasisi hiyoโhuku Ukisoma upepo