Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Antoine Tshisekedi, amemtunuku Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Congo, Fally Ipupa Nsimba, nishani ya heshima ya kitaifa kufuatia mafanikio yake makubwa katika kuitangaza nchi hiyo kupitia Muziki.
Tuzo hiyo ilitolewa baada ya Fally Ipupa kufanya maonyesho mawili makubwa katika uwanja wa Stade de France mjini Paris mwezi Mei uliopita, tukio lililoweka historia kwa kuwa Msanii huyo kuwa ndiye Mwafrika wa kwanza anayezungumza Kifaransa na kuishi barani Afrika kutumbuiza katika uwanja huo maarufu.
Akizungumza wakati wa hafla ya kumtunuku Msanii huyo, Rais Tshisekedi alisema heshima hiyo haitambui tu kipaji chake cha muziki, bali pia maisha yake, nidhamu, uvumilivu, kazi zake, sauti yake, uwezo wake wa kutumbuiza jukwaani na mchango wake katika kueneza utamaduni wa Congo duniani.
Kiongozi huyo pia alitoa heshima kwa baadhi ya magwiji wa muziki wa DR Congo ambao wamechangia kuutangaza muziki wa nchi hiyo kimataifa.
Miongoni mwao ni Papa Wemba, Evoloko Jocker, Jossart N’Yoka Longo na kundi la Zaiko Langa Langa, Koffi Olomide, Werrason, JB Mpiana pamoja na Ferré Gola.
Kutunukiwa kwa Fally Ipupa kunachukuliwa kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza na kuitangaza urithi wa muziki wa Congo katika jukwaa la kimataifa.
#KitengeUpdates
JAMANI, PHD NI RAHA:
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN akijadiliana jambo na WASOMI WENZAKE, mara baada ya KUTUNUKIWA PHD mjini Moscow, nchini Urusi.👇
MIAKA 57 RAIS SAMIA AVUNJA UKIMYA WA URUSI NA TANZANIA 🇷🇺🇹🇿
_The Diplomat_
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza kutekeleza sera za Ujamaa na Kujitegemea baada ya Azimio la Arusha la mwaka 1967. Katika mazingira hayo, ushirikiano na Moscow ulikuwa na sura ya kisiasa na kiitikadi, lakini pia ulikuwa sehemu ya jitihada za Tanzania kupata teknolojia, elimu, wataalamu na msaada wa maendeleo.
Hata hivyo, Mwalimu Nyerere hakujifunga upande mmoja pekee; aliendelea kusisitiza sera ya kutofungamana na upande wowote huku akitafuta marafiki kutoka Mashariki na Magharibi kwa maslahi ya taifa. Baada ya hapo wamepita marais wanne hadi Rais Dkt. Samia alipofanya zara ya pili mwaka huu Juni, 2026.
Ni miaka 57 baadae Rais wa Awamu ya ya sita Dr. Samia Suluhu Hassan amepata Kuvunja rekodi hiyo. Rais Samia amefika Urusi katika dunia tofauti kabisa. Hakuna mgawanyiko wa Vita Baridi uliokuwepo mwaka 1969.
Badala yake, dunia ina ushindani wa kiuchumi kati ya mataifa makubwa yanayotafuta masoko, uwekezaji, rasilimali na ushawishi wa kidiplomasia. Tanzania nayo imebadilika kutoka uchumi
wa ujamaa kwenda uchumi wa soko
unaotegemea uwekezaji wa sekta binafsi, biashara na ushirikiano wa kimataifa.
Katika mazingira haya, ziara ya Rais Dkt. Samia imejikita zaidi katika kuvutia uwekezaji, kupanua biashara, kuimarisha ushirikiano wa teknolojia, nishati, miundombinu na sekta nyingine za uzalishaji.
Tofauti na Mwalimu Nyerere ambaye
alizungumza zaidi katika lugha ya
ukombozi, kujitegemea na mshikamano wa kisiasa, Rais Dkt. Samia anazungumza katika lugha ya ushindani wa kiuchumi, ukuaji wa uwekezaji na fursa za maendeleo.
Ni miaka 57 yenye dhamira ileile ya msingi: kuitafutia Tanzania washirika wa maendeleo katika mfumo wa dunia uliopo.
Maboss wa Chadema!! Nchi inasumbua hii na mnatuchanganya sana! Lema nakusalimia.
Jaman, Jumapili Njema! Tutaonana baadae naenda kusikia mahubiri kwa Gwajima maana kuna movie anaicheza 😂 😂 kijana wa Jambazi Rachel Dangwa na Yeye Staring na Maria Ndio tayari wa Jambazi. Nikitoka nitakuja kuwaadithia.
Karata ya wanaharakati kwa Gwajima ni UDINI ambayo ndio wanawachezesha wale Maseneta! Naona Askofu siku hizi amechachuka kwasababu ameambiwa akipoa wale hawataona kama kweli wakristu wanaonewa! Mariaaaa 😂
Wote tulimuona Askofu akiwa ametulia, ghafla tukaanza kusikia moja mbili tatu kwa Rachel kichaa kumbe walikuwa wanaandaa jambo lao chini chini mara tukasikia maswali kwa balozi mteule kuhusu UDINI wiki hizo hizo hatujatulia tukaambiwa amekimbia kumbuka taarifa hizi zote anatoa Maria kupitia circle ya misikule yake Rachel au Hilda!!
Hakuja kucha, alikuwa anataka kutekwa mara amekimbia nchi tunaona kaanza kuchachuka kwa madhabahu na wakati huo ziara za maseneta kwa timu ya USA zimepamba moto!! Mariaaaa 😂
Tanzania ni nchi sio familia ya Mzee Sarungi ambae mmeshindwa kumjengea hata kaburi lake! Mwandambo alisema serikali ni li JITU flani likubwa! Tuko hapa tunasubiri mahubiri ya leo ili mpeleke marekani tena.
Kumbe ndiyo maana PANYA BUKU alikuwa anatoa milio sana kuhusu hii documentary🤔
PANYA BUKU anapokea hela kuchochea machafuko! Yaani hakuna maelezo zaidi.. Yaani LGBTQ ipi Tanzania na wapi? Yaani kapokea 1.5bn TZS miezi miwili kabla ya uchaguzi 😳
Tume ya Jinai mnajua cha kufanya...📌
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Mashauri Mahakamani yanaitwa kwa ajili ya kusikilizwa pande zote mbali na kuepuka kuchukua Sheria mkononi. Kujipanga kuleta vurugu na ghasia wakati wa mashauri ya jinai ni kuchukua Sheria mkononi.
Waziri Mkuu mstaafu Kassim Majaliwa Majaliwa akifanya mazoezi kwa kuendesha baiskeli maeneo ya Mbweni jijini Dar es Salaam kama utaratibu wake wa kawaida.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemfukuza uanachama aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed kwa kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama hicho.
Huwa nashangaa watu wanao ona ni watanganyika tu wanao kerwa na huu Muungano,
You guys?
sisi wazanzibari ndo hatuutakagi kabisa yani,
na upinzani mkubwa ulianzia kwetu mpaka kupelekea kifo cha Karume!
Anaitwa Chris Lukosi ni jamaa ambaye aliacha kazi ya askari polisi na kuamua kua Dalali wa vitu used kutoka Ulaya. Yeye anakuambia udalali umempa hela nyingi sana kuliko uaskari polisi. ✊🏿✊🏿
Dkt. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
✅ Profesa wa Siasa
✅ Mama wa Diplomasia
✅ Kiongozi wa Mageuzi
Kwa busara, weledi na maono makubwa, anaendelea kuiunganisha Tanzania na dunia huku akichochea maendeleo ya wananchi. 🇹🇿
Kwanza msomi wakwanza Tanzania ni Mhaya alikuwa anaitwa Justin Rweyemamu, Degree yake ya kwanza aliipata Marekani kwenye chuo Cha Harvard.
Huwezi kukuta Mhaya Mshona Viatu Wala Mpika Chipsi, na ukiona mhaya anafanya hizo kazi ujue ana degree na anafanya Kwa kujifurahisha tu.
🗣️Mpoki