nikiishi huruma ,kuna siku nimetoka tao kukewa kufika kwa plot napata nimepoteza key ya gate na ata ya nyumba pia sina . Hapo inabidii either uvunje gate ama ulale nje . Then kibahati nzuri vijana flani wasaba wakatokea wakaniuliza nafanya nini nje saa nane usiku na nimetoka wapi . Na juu nlijua area sana ..,already in mind nlishajua ni wezi . Nkawaambia tu mimi pia niko shughli . So ikabidii tushikane tuvunje gate tuingie ndani .. target yao ilikuwa so clear ,walikuwa wanakuja kwangu kuniibia juu apparently the previous day nlikuwa nimenunua bonge la TV na Home theater. Tukavunja gate ,then tukaenda straight hadi kwa keja yangu pia tukavunja mlango ..tukapiga tero moja fisa tukakosa hizo electronics (Nilikuwa nishazipeleka ushago) ..tukajam vibaya sana .. but hapo kulikuwa na ugali omena baridi ..tukakula then tukakunywa maji ya dasani yenye ilikuwa hapo then tukapita pia na Mzinga ya Napoleon (Hazikushika ata) .Then tukatoka nje ya gate kila mtu akaenda zao ..mimi nkawashow bado niko na shughli hapo chini ,na wao wakazidii zao ,na hivyo ndivyo nilipata wasaidizi .
Asubuhi naskia watu wakisema vile wezi walivunja gate na kuvamia plot na kuwaibia mimi niko zangu kucheka !
Me and my bro did our first hyrox "doubles" and we represented our company, @thebigfishke which sponsored us😌. Also a big shout out to everyone who cheered us👏
Huyu dem aliover stay kwangu 3 days akiwatch polygamist . Ilibidi niende nichore plan na mzae flani wa kushona viatu . Mzae alijifanya landlord so akakuja kunifurusha ati sijalipa rent 3 months. Dem out of sympathy akasema twende kwake nikamshow nitaenda kwa bro wangu. Dem akaniekea 2k nikajifanya nimeenda stage ya Ngongroad nikapiga kona nikarudi kejani. At once I felt the comfort of being alone buana.
Nakuru County:
Corporal Leonard Odero, attached to the Nakuru National Park Command, was on standby duty at Honeymoon Camp and had been issued with a CZ Bren 2 rifle, together with 3 magazines each loaded with 25 rounds of 7.62mm ammunition when he was found having shot himself 6 times while sitted on the floor inside house No. HMB 10.
The deceased sustained 2 gunshot wounds to the head, 1 to the chin, 1 to the chest, 1 to the left palm, & 1 to the upper left hand.
A total of 6 spent cartridges were recovered from the house.
A 5 page suicide note (addressed to his wife & parents) contained in a small notebook was recovered from a metallic box. In the note, he expressed regret for his intended actions, listed individuals whom he owed money, detailed his property & provided contact information for persons to be notified (father, brother, sister & wife).
The scene was processed by officers DCI's CSI personnel & body moved to Umash Funeral Home pending autopsy examination.
The firearm was secured & detained as exhibit.
Sources indicate that the officer had been transferred to Nakuru National Park from Aberdare National Park 6 weeks ago.
DCI Nakuru East dealing.