Wavivu wa kusoma ngoja niwarahisishie kwa ufupi kilichotajwa katika Gazeti hilo ni👇
🔴 Malalamiko ya Upinzani:
Hata hivyo, upinzani unadai kwamba mwelekeo wa Samia umebadilika, na sasa wanashuhudia utekaji nyara, mauaji ya wakosoaji wa serikali, na marufuku dhidi ya mikusanyiko ya upinzani.
- Hii inatajwa kama ishara ya kumalizika kwa juhudi za kidemokrasia.
🔴 Utekaji na Manyanyaso:
- Mfano mmoja ni wa Edgar Mwakabela, mwanaharakati aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, kuteswa, na kuachwa na majeraha makubwa.
- Mwakabela alidai kuwa aliteswa na polisi kwa sababu ya kuandaa mgomo wa wafanyabiashara dhidi ya ushuru wa juu.
🔴Hofu ya Uchaguzi:
- Vitendo hivi vinatajwa kuwa mbinu za kuwatisha wapinzani kabla ya uchaguzi mkuu, huku wakosoaji wakihisi kuwa hatua hizi ni za kuonyesha mamlaka na kuzuia ushindani wa kisiasa.
“Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana.”-; Mhe. @TunduALissu
September 23, 2026.
@HildaNewton21@TunduALissu “To those who say I should be imprisoned,tell them this:in history, no hero worthy of the name has ever existed without having experienced imprisonment or the very things we are going through.That is not a crown of thorns; it is a crown of gold"
🙏TANGANYIKA WAKE THE HELL UP👊✌️
Kuna kipindi katika maisha kinaitwa..
“Near success syndrome”. Kila unapojaribu kupiga hatua mbele unakwama
Mara nyingi hapa, inahitaji pengine suluhisho la kiroho zaidi na acha kusimulia mtu yoyote unachopitia
@JustinDonMe@SteveMchelsea21 Hili linawezekana, haswa ukiwa na viongozi wasiokuwa na weredi na mpira nakumbuka kocha wa singida uchebe alisema alikuwa anapangiwa Hadi wachezaji wacheze namba ipi na nani asianze kwenywe kikosi hiki na kiomgozi tu Akbar hana weredi na mpira, kocha akahoma akatimliwa
@RickyJaduong86 Kuna namna wanataka kumtafutia makosa ya kumuondoa kwenye Uongozi yami lengo lao Lisu na Heche wapishe wengine wanaonunulika waingize chama kwenye maridhiano
@Deewamainde@godbless_lema Hakuna kitu cha msingi utafanya kisichowahusu wanasiasa, Maisha ni Siasa na wanaotupangia maisha yaweje kwenye nchi yetu ni hawa hawa wanasiasa waliopo madarakani na wasiokuwepo... SIASA haikwepeki bro