@M10 congratulation @M10 during your competition soccer,
The remaining Generatin have something to learnin your cycle wherever you played๐๐ Be blassed for your new life after retired in competition soccer ๐ช
@jemedarisaid mtu yeyote anaesimama kidete na kuudhubutu kusema Simba amemzid yanga basi huyo ni MCHAWI
@yangasc1935 ana zaid ya 2bil. ukijumlisha na bonas ya hayer
@SimbaSCTanzania bado wana 1b hiv wewe unaujasir gan
kweli wewe ni sauti ya wanyonge (the voice of vioceness) ๐๐๐๐๐๐
@TZSportPesa kama nawaelewa, ila sasa @yangasc1935 hawaruhuaiwi kuvaa jersey yenye mdhamini ambaye ni kampuni ya bahati nasibu, ndio maana kimataifa wameamua kutafuta mdhamini!
Ila hapo wenyewe kila mmoja anajua mkataba wao unasomekaje!
@yangasc1935 mfundisheni busara huyu kijana wenu @AliKamwe maana ni kiongozi wa taasisi! Kuna muda anatoka nje ya mstari
Hivi haya anayo andika kudhihaki watu kwa maumbile yao ni kwanini? Inamaana hajui utu wa watu wengine?
Soon mtaanza kuangaliana!
I love @yangasc1935
@AliKamwe_ Mimi ni shabiki saana wa @yangasc1935 ,
Kuna mda unakuwa huna busara!
Hayo mambo ya kudhihaki watu/viongozi/makocha wa timu pinzani hayana busarara kutoka kwa kiongozi kama wewe!
Hayo mambo waachie mashabiki sio wewe kupost vitu visivyokuwa na hadhi ya kiongozi!
ACHA UTOTO!
@SuphianJuma Nyie mlikuwa mnafurahia hiyo mikutano kuto kuwepo, huku mkisema hakuna aliyezuia mikutano ya siasa,
Raisi anasema ameondoa zuio la mikutan0 na nyie mnashangilia!!
Hivi, huo uzwazwa mtaacha lini?
Kwanini usisimame na akili zako timamu?
Mikutano ya kisiasa ipo KIKATIBA mkuu!!
@Sisimizi3 @__abdulazack @Ngaso6Ngaso Kwakuwa MUNGU alijaalia familia yenu ,
Umezaliwa mali umezikuta wakakuwezesha leo hii unawadharau wasiokuwa nacho,
Unaleta dhihaka kwa wale ambao walitokea familia zisizokuwa na uwezo
Haya sawa๐๐
@Cyancuty Wewe unataka urizishwe wakati ukiingia ndani hakuna hali ya kumrizisha unaetaka akurizishe ๐๐
Mambo ya kutafuta hisia kwa mwingine si ni kuichosha akili??
@Mzeewajambia Wewe ni ..... mmoja!!
-Hao De Agosto, Namungo alimpiga 6
Na wew umepata nusu ya ushindi wa Namungo
-Al hilal juz kati hapo umeenda ukacheza nae akakuchapa vzuri tuu
Sasa ndugu yangu Oruma weka akiba ya maneno