@arnorexC0@IAMartin_ Mwenyekiti atakuwa anajua mpango mzima,kamuacha hadi katema nyongo yote na kutoa code ya Yuda ni nani ndo anajifanya ajikite kwenye hoja, Mligo sentensi ya kwanza tu angeambiwa jikite kwenye hoja na taarifa nyingi
@MickyJnr__ Bakhressa effect, Azam couldn't easily allow him to move out as they think he is the right coach to make the club successful on long term plan
@MichaelMwebe Ndo maana viwango vya wachezaji wengi vinaporomoka,hakuna mapumziko. Wachezaji waliocheza hii ligi for the past 3 seasons,msimu ukianza wako hoiii na gari linachelewa kuwaka
@BERNARDKOMBA @Royal_Tv_Tz @zittokabwe Amsons Group wanamiliki Camel Oil na Mbeya Cement, Mmiliki ni Edha Nahdi,mmoja kati ya top 10 richest people in Tanzania .