@MarekaMalili Wazalushaji hawatabiriki na taarifa zao hazipo. Vipi uchukue mkopo Kununua cold room vehicle alaf uanze kuwinda wazalishaji.
Ila as usual informal sector ndio afrika yenyewe let's innovate into this
@Mudimabiriani Hawa wanaokuja kuchinja maelfu ya mbuzi na kondoo huku bongo na kugawa Bure mbuzi mzima mzima cha msingi awe amechinjiwa mzima hawakupi hata kwa bunduki, hawaoni hii fursa ya kupiga hio Hela.