@cr_xniper Clarity comes when a trader sees the difference between what the market promises and what it delivers...advertised vs executed orders.akili kumkichwa.
Tulifundisha watu liq eng Na vitu vingine kama mwanzo
Ila waliona kama wameyapatia baadhi ya wadau ilabidi wafosi kukosana na sisi ili wafundishe yale tuliyowafunzaa
Ni wambie that was basic ata hvyo mwenyezi Mungu awabariki nyote mlio fosi maugomvi japo sikujibu mtu
Mtu anabacktest vzr tu na anaona vitu vnaenda vzr tu shda akrud sokoni anaacha kufanyia kaz alchobacktest anaingza Emotions,Greedy,Revenge anakula fimbo anakimbilia kwa Mentor hlf anamwambia kuna vtu hujanifundsha unanifcha we mbna una-win mi nakula fimbo sokoni.
Ujinga tu.
BREAKING: After President Trump said he would only visit Saudi Arabia if they started buying more American products, the Saudi Crown Prince just called and said they want to invest $600 BILLION in the United States
THE ART OF THE DEAL.
Kuna hawa pia wanaochukia sisi tukiuza ujuzi wetu online
Nakuuliza swali wakati najifunza ulinisaidia ?
Wakati napambana kufika apa nilipo ulikuepo?
Kuna juhudi yoyote umeeka katika mafanikio ya ujuzi wangu ?
Jes wewe ni mama yangu nikufundishe forex bure
Acha upuuzi
Ukiendelea ku sculp utakua mwizi
Ukiendelea ku sculp utakufa mapema
Nikuulize swali kwani unaharakishia wapi
Unataka utengengeneze utajiri kwa mda mchache we uliona wapi
Acha ku scalp naongea na wewe
Wengi mnao scalp ata famili itawashinda kuendesha
Acha mara moja
Appreciating my forex mentor for their unwavering support and guidance in the world of trading. Grateful for the invaluable lessons learned and the path to success paved together!🙌💼📊@pip_storm#achawatotowacheze
Discipline is the single most important trait of a successful trader. If you can't discipline yourself to do what needs to be done, no amount of education or training will help.
Without discipline, you're just a gambler.👽