@DeLaFunk6 @earadiofm Aahha tunaweza boresha shule za awali na kuwa lazima kwa kila mtoto, then kupunguza madarasa ya pri yawe 5/6, olevel yawe 3. Ila lile jasho na damu la Advance yabaki hivyo hivyo.
@TillahBlessed Kuwa na ushawishi haimaanishi wewe ni mkali, hizo ni categories mbili tofauti kabisa (yaani mkali & ushawishi). Lkn pia kuchagua rapper yupi mkali inategemea na test ya mtu, myself my top 5 best rappers ni Jaymo, Balozi, fid, Ngwea and profJ.
@TillahBlessed Nimeona wengi wakitaja marapper ambao ni wakali kama kina @FidQ, @MwanaFA etc. Lakini kulingana na swali lako, rappers wenye ushawishi mkubwa toka game imeanza mpka leo ni Sugu na @ProfessorJayTz
Kuvaa kitu/ nguo yenye hadithi tamu nyuma yake inakupa fahari na kujiamini zaidi and vice versa. Ni kama vile fahari ya mama anapovaa kitenge alichonunuliwa na mtoto wake pale alipopata mshahara wake wa kwanza. The story behind always kills.@YoungAfricansSC@SheriaNgowi@Caamil8