i dare you to be as delusional as possible for 30 days. compliment strangers. ask for things that feel out of your reach. take shot after shot after shot. you won’t hit them all, but you’ll hit a couple. but what you hit isn’t the point. it’s about rewiring what you see as possible. when you remove your self imposed limits, you realize they were never real to begin with. anything is possible my friend. but it’s up to you to pursue it.
Sanaa imenifundisha mengi ikiwemo, “hakuna anayewajibika wewe kufanikiwa zaidi yako wewe mwenyewe.”
Cha kufanya ni kuamua, kubadilika, kujiwekea misingi, kuthamini unachofanya, kutafuta/kutengeneza fursa, kujifunza, kuwa na mtandao wa watu na kuwa na consistency ya ajabu.
some of y'all need to understand that we're not in any competition....we all need to eat
don't gatekeep any info that can help bro put bread on the table>>>
Kabla ya siku kuisha hakikisha kuna jambo hata moja linalohusu ustawi wa maisha yako umefanikisha kwa siku hiyo. Haijalishi ni dogo kiasi gani. Kikubwa uwe umefanikisha.
Iwe ni jambo la kimwili, kiakili, kiroho, kiuchumi au kimahusiano. Kikubwa hakikisha umefanya, umekamilisha.
@MiriamMkanaka Kuna level Fulani ukifika , hata madeni unayatazama tu wala ureact nayo , if the moment is not giving ni it’s not giving. PERIOD.
So tutavumiliana tu
Hii Dunia ina mambo sana, huko Pakistani jamaa wamekamwatwa wakisafirisha kilo 200 zilizosindikwa la "kondo la nyuma" la binadamu baada ya kujifungua yaani jamaa wao wanakula rada mahospitalini wanatoa hela wanachepusha huo mzigo kama malighafi na wao wanaenda kuuza kwa makampuni ya vipodozi ili wafanye dawa ya kuzuia kuzeeka🤦🏾♂️
@gtguapp It’s a series of trials and errors , trials and errors until one pattern sticks , research after research until one conclusion is achieved. I think you can now assume how long it can take. Everything requires a push inside si unajua
Vita ya kutafuta riziki haijawahi kuwa nyepesi kwahiyo jitahidi kusali kabla ya kutoka nyumbani. Inawezekana wewe hauna shida na mtu ila watu wana shida na wewe.
get addicted to neuroplasticity, subconscious reprogramming, delusional optimism, game theory, and quantum physics. i promise it will change your life.