Kwa wanachama wa CHADEMA na Watanzania wote; kwa ndugu, jamaa na marafiki wote; na kwa wengine wote tunaofahamiana na tusiofahamiana: sisi tulio Wakristo tunaamini leo ni siku ya kuzaliwa mkombozi wetu Yetu Kristo. Ni siku ya kwanza ya kuelekea kwenye ukombozi wetu.
Naomba niwatakie Sikukuu ya Noeli yenye furaha, baraka na matumaini ya ukombozi wetu. Panapo majaliwa, tukutane siku ya Mwaka Mpya kujadiliana yaliyo muhimu kwetu sote, kwa chama chetu na kwa nchi yetu.
Chaguo la wananchi.
Kati ya @TunduALissu na @freemanmbowetz nani kati yao anafaa kukiongoza chama hiki kikuu cha Upinzani kukivusha katika Giza hili totoro
Re post kwa Lissu. 🔁
Like kwa Mbowe. ❤️
I just wanted to send this farewell message to all Manchester United supporters.
I would like to express my unwavering gratitude and appreciation for the love from the last 12 years. We’ve achieved a lot since my dear Sir Alex Ferguson brought me to this club. I took incredible pride everytime I pulled on this shirt, to lead the team, to represent this institution, the biggest club in the world was an honour only bestows upon a few lucky footballers.
It’s been an unforgettable and successful period since I came here. I didn’t think from leaving Madrid as a young boy we would achieve what we did together.
Now, it’s the right time to undertake a new challenge, to push myself again in new surroundings.
Manchester will always be in my heart, Manchester has shaped me and will never leave me.
We’ve seen it all. 🤘🏼❤️
Sala ya Imani: Yesu Kristo mwokozi wangu nasadiki upo kweli katika altare hapa. Nasadiki kwamba nitapewa sasa hv mwili wako na damu yako pamoja na roho yako na umungu wako, nasadiki kwani ndiwe mwenyewe uliyetueleza.
https://t.co/GzRWYBFmof
#RadioMariaTz