⏱️Time ya The Request Show ya @earadiofm 📻ndio hii 12 jioni mpaka 1 usiku, nipe request ya ngoma kali then itasikika kutoka hapa Mikocheni🚦 mpaka hapo ulipo🤛🏿
Miaka miwili iliyopita nilikuwa ninafanya show tatu za burudani ndani ya kituo kimoja cha Radio, ya kwanza ikiwa ni Standard Mix, ya pili ni Beats Night Show ( B.N.S ) na ya tatu ni Premier Top 20, hii ni clip fupi… https://t.co/Oahzh3fPjq
Leo nimekutana na moja kati ya wachanaji ( raper's ) hatariii sana Singida, Tanzania na Afrika mashariki kwa wa ujumla, anaitwa challybiashara
"Usiache kuSubscribe Maktaba Online" @ Singida, Singida, Tanzania https://t.co/OfW2Eksx1r
Tega sikio lako mpaka kumi kamili za jioni.
razzydoctor
johflex_zeelakinomanoma
djjovin96
@ismailysuarey@e8_jr @ Singida, Singida, Tanzania https://t.co/W9BA9snT13
Mtayarishaji wako Bora wa muziki bugalee pamoja na Mtangazaji wako Bora ( jina kapuni, simtaji ) tunakutakia heri ya mwaka mpya 2020, heri na fanaka tele. @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/wX1FRH6zFP