@moodewji Mie nafanya biashara ya https://t.co/yga3SW9qUq soko langu kuu ni tanzania kariakoo na Nina deal na mabag Makubwa yakufungia biashara watu wanaokuja kununua biashara zao na kupeleka sehem mbalimbali nchini na njee ya nchi.. Nimefanikiwa nimeweza kusafiri na nimekuja China
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) , limewatangazia Wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la umeme kesho Jumatatu, July 08, 2024 na Jumanne July 09, 2024 kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi 12:00 jioni katika baadhi ya maeneo katika Mikoa 15 sababu ikiwa ni kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Msamvu, Morogoro hadi Dodoma(SGR) ili Mkandarasi wa TRC kuendelea kumalizia kazi zilizokua zimebaki kwenye vituo vya treni vya msongo wa kilovoti 220/27.5
Maeneo yatakayoathirika ni baadhi ya Wateja wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Singida, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Mara, Geita, Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
“Kufanyika kwa zoezi hilo kutaiwezesha TRC kuweza kuimarisha mifumo ya uendeshaji treni na pia kuimarisha ufatiliaji na undeshaji wa line ya 220kv Msamvu - Dodom, Shirika linaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza”
#MillardAyoUPDATES
This app is amazing and really useful to back up your favorite videos from Twitter and Instagram. Install it with me now, and enjoy!!! You will not regret. https://t.co/9aBwfSY2l4
This app is amazing and really useful to back up your favorite videos from Twitter and Instagram. Install it with me now, and enjoy!!! You will not regret. https://t.co/9aBwfSY2l4