JINSI 7 YA KUFANYA MEDITATION (TAHAJUDI):
UZI 🧵
-Msongo ni kitu kisichozuilika kwa sasa haijalishi una umri gani, njia pekee ya kuyatoa ni kufanya Meditation.
-Meditation ni ujuzi kubadilika sio tu kuipumzisha akili Bali pia kujijua mwenyewe na kuijenga thamani yako usiyoijua kiroho.
-Kuna nguvu kubwa kwenye meditation. Nitakwambia.
Tatizo tumeaminishwa kuwa historia ya Tanzania ilianzia kwa Nyerere.
Ni kama vile Nyerere aliibuka tu paap na kuanza kupigania Uhuru katika nchi iliyokuwa imejaa subjects wasiojitambua.
Yaani aliibuka single handedly, akaanzisha TAA kisha TANU halafu paap Uhuru.
Wakitajwa wengine aliowakuta au walioshirikiana naye, tayari mtajaji anageuka kuwa kondoo mweusi.
Huyu mzee ana sauti fulani ya kimamlaka kwenye eneo la historia ya Tanganyika kiasi kwamba kila akiongea hauchoki kumsikiliza.
Composure yake inaonesha pia anakijua vilivyo anachokiongea.
Ana ile taste ya Sir David Attenborough kwenye documentary ya Planet Earth.
Salute!
PICHA LINAANZA Imagine mtu mwenye funguo za mamlaka yote ya teknolojia ya AI duniani. Kila chatbot kubwa, kila Data center unayoijua inamtegemea. Bila yeye kujua, mchepuko wake mmoja alikuwa akifuatiliwa na majasusi wa Marekani wakiamini ni jasusi wa CHINA...👇🏾
Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi anashauri wanandoa wanaohangaika kutafuta Watoto wasishiriki tendo la ndoa kila siku ili kumpa nafasi Mwanaume kutengeneza mbegu nyingi, zenye Ubora unaoweza kurutubisha yai.
Katika mahojiano haya yaliyofanyika kupitia Mwananchi Digital, Dkt. Mtinangi anabainisha kuwa njia hii inaweza kuongeza uwezekano kwa Mwanamke kupata Ujauzito hasa ikiwa changamoto inatoka kwa Mwanaume
Signs that your body needs sex
1. Always feeling stress
2. Consistent Headache
3. Difficult in sleeping
4. Always angry for No reason
5. Joint pain
Kufanya mapenzi sio kitu cha kulazimisha kwa mwanamke,
Wana saikolojia wanasema kwamba, wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi kuliko wanaume.
Kwahiyo ukiona kufanya mapenzi naye ni mpaka ulazimishe sana, basi hana hisia na wewe.
Na unajua nini cha kufanya kaka!