🚨Klabu ya simba imeweza kufikia rekodi ya dunia ya bayern Munich ya kucheza mechi 19 pasipo kupoteza au kutoa sare.
Endapo simba ikishinda mechi ya jumapili dhidi ya namungo itakuwa team ya kwanza duniani kucheza mechi 20 pasipo kupoteza wala kutoa sare.
DILI LA FEISALI NA SIMBA SC BADO LIPO PALEPALE
Hii ni baada ya mchezaji huyo Feisal Salum Feitoto kugoma kuongeza mkataba mpya na Club yake ya Azam Fc ambao unaisha mwishoni mwa msimu huu.
Ifikapo January 2027 Feisali yupo huru kuongea na Club yoyote
Je ni Simba Sc au ?
DILI LA FEISALI NA SIMBA SC BADO LIPO PALEPALE
Hii ni baada ya mchezaji huyo Feisal Salum Feitoto kugoma kuongeza mkataba mpya na Club yake ya Azam Fc ambao unaisha mwishoni mwa msimu huu.
Ifikapo January 2027 Feisali yupo huru kuongea na Club yoyote
Je ni Simba Sc au ?
YANGA tayali wana katiba mpya,
Kuna wanongwa wameanza kuhoji
- wanachama walikua wanajua wapo kwenye mchakato wa katiba mpya au wako bize na MANGUNGU
YANGA watamiliki uwanja wao kwa 50%
Wanongwa bado wanataka wamiliki kwa % zote
-Wanasahau kua sio club inayojenga hivyo mdhamin atamiliki 50% zingine kwa kipindi watakachokubaliana na club
YANGA target yao msimu huu ni kufika robo fainali ya ligi ya mabingwa baran africa CAFCL
Wanongwa wameanza kuhoji,
Ni lini hii club itakua na malengo ya kulibeba taji lenyewe
Hapa wanongwa walianza kumkumbuka MANQOBA MNQGITH aliekua na uthubutu wa kusema atalibeba
Wanasahau kua resources bado hazitoshi kuleta taji hilo
Mr cleansheet
Mchambuzi msomi
Waingereza wana usemi usemao
"Background reflect the future"
Maisha yako ya leo kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya wazazi wako au ndugu zako kwa miaka iliopita
Yaani leo yako imetengenezwa na wazazi wako pamoja na ndugu
Kama hawakutengeneza vizuri basi palipobaki ni jukumu lako
Mdogo wake LAMINE YAMALI miaka minne tu kaanza kulamba madili
Na haya ni matokeo ya mapambano ya brother wake
Bila brother wake janja tusingemjua
Janja wake LAMINE YAMALI kaanza kujitosa kwenye ulimwengu wa uanamitindo (Modeling) kupitia kampuni ya BOSS!
Tena akiwa na umri wa miaka minne tu
KEYNE EBANA tayari ameanza safari yake katika tasnia ya mitindo kama masila
Ndoto ambazo watu wamezipambania kwa miongo ya miaka bila mafanikio
Yeye janja akiwa na miaka minne tu mambo fresh
Janja wa LAMINE YAMALI ameonekana katika kampeni mpya ya kimataifa ya kampuni ya BOSS iliyopewa jina la
“#BeYourOwnBOSS”
iliyozinduliwa mwezi huu wa Novemba 2026
Hii habari ya MBWANA SAMATA kwa siku ya leo imekua trending kwenye vyombo vya habari ya uarabuni na afrika magharibi
Lakini hapa bongo haipo kabisa
Hii imekaaje