@mad_genius6 Ndiyo.
Na tunatrmbea nayo mpaka machoko mjitokezee hadharani kudai haki zenu ili tuwatambue maana kwasasa mnajificha nyuma.ya vitu vingi sana ๐ค
YBWYB ๐
@zoetjesheeftX Apimwr akili kwa kupambana kupinga ushoga ๐ค
Yaani kwa tafasiri ya haraka haraka, ni kwamba mtu anayepinga ushoga nchini +255 ndiye anaonekana ana matatizo ya akili ๐
Kwa maana nyingine ni kwamba, mtu anayesapoti ushoga nchini +255 huyo ndiye genius mfano wa kuigwa ๐