Ninaiman kubwa juu ya sensa ya watu na makazi kuwa itafanya tathmin kubwa na ya kutosheleza katika kuiwezesha serikali Kupanga mikakati yake ya usaidiz kwa Wananchi kuhakikisha wanafanikiwa kuinua Na kuboresha maisha ya watanzania,maana tayari washajua hali halisi. @NBSTanzania
Kuna umri marafiki wanapungua, pesa haipatikani na simu inaacha kuita. Hiki kipindi kinaweza kukufanya uhisi unapotea na unatoka kwenye reli ya mafanikio ya maisha. Lakini amini kwamba hiki huwa ni kipimo cha Uimara wako, Usikate tamaa pambana tena amini kuwa kesho bora inakuja.
Jamaa kauliza swali la msingi: "Biashara gani unaweza kuanzisha Dar kwa mtaji wa 6M na ikuletee faida ya 400K kwa mwezi?" Na haya hapa ndiyo majibu ya watu—kuna mengi ya kujifunza! 🔥
Check the thread 👇🏾🔥
The concrete mixing ratio of cement, sand, and gravel is 1:2:4. This ratio helps calculate the required volumes and weights of each material. Additionally, a dry volume conversion factor of 1.54 is included to accurately determine the material quantities necessary for concrete
Wakati Mwalimu yupo hai na Mwinyi akiwa Rais, kabla ya uchaguzi wa vyama vingi, kipindi ambacho USD 1 =Tsh 500. Siku kama ya leo nilizaliwa ndani ya Nchi hii iliyojaaliwa watu wenye Upendo. Leo ninapoazimisha siku hii,ninaomba dua zenu nizidi kuwa mtu mwenye mchango kwa Nchi hii.
Unapima Mara kwa Mara? Hivi Ndio Vipimo Muhimu Unavyopaswa Kufanya—Lakini UKIMWI Haipo Kwenye Orodha!
Leo nakuletea vipimo 7 muhimu unavyopaswa kufanya mara kwa mara ili kuhakikisha afya yako iko imara. Na mwishoni, nitakueleza kwa nini kupima UKIMWI si kipaumbele kikubwa katika listi hii!
THREAD: ⤵
Familia tukue pamoja nifollow @kinlop_ repost hii ifike mbali ❤️
Karibuni kwa Tv, Smart Tv zenye ubora wa hali ya juu .Tunapatikan Likoma na magila kariakoo
Piga 0782839652