Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa SAILENCE MWAKASALA Mwenyekiti wa CHADEMA Student Organization mkoa wa Mwanza mchana huu, Polisi 5 mmoja tu ndiye aliyevalia sare wakiwa na mitutu ya bunduki wamevamia nyumbani kwake na kumchukua kwa nguvu. Tunaendelea kufuatilia kila hatua.
REPOST 200
#FreeMwakasala
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28, 2026 imeifuta rasmi na kuiondoa mahakamani hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na kiumbe aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa katika mgawanyo wa mali za chama kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NB; Kesi hii ndiyo MaCCM waliotumia kuzuia shughuli za CHADEMA kwa siku 310.
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEMZUIA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUIFUTA CHADEMA AU KUITOZA FAINI.
Moja kati ya sababu zilizotolewa na Mawakili ni kwamba Msajili ameonyesha upande kwamba anaifuta CHADEMA au ataitoza faini wakati baruahiyo ilikuwa hata bado haijajibiwa na CHADEMA.
Kwamba kwenye barua hiyo Msajili yeye ndo mlalamika, yeye ndo shaidi na wakati huo huo yeye ndo Jaji kwa maana hii hawezi kutenda Haki.
Unaweza kusoma uamuzi wa Mahakama👇
Umuhimu wa "Natural Justice" katika kesi yenye maslahi ya umma (public interst) ni kuhakikisha Mahakama haifanyi upendeleo katika kutoa maamuzi
Kesi isiamuliwe kwa misingi ya kisiasa
Presha kutoka kwa mamlaka
Chuki binafsi