@StoneSaphia Kama hii njia anayofundisha huyu teacher inaonekana mpya kwa watu, basi hesabu haikuwa ngumu ni watu mlikuwa hamfatilii tu kinachofundishwa
Mpaka mwili umesisimka kwa FURAHA.
Msikilize mrithi wa nafasi ya Deoniz KIPANYA (kiongozi wa Chadema Alietekwa Huko mkoa wa Rukwa) akimshona pointi nzito Wazuri mkuu mstaafu.
Akajua anaongea na mtu asiejielewa anamuuliza swali la Kipuuzi eti nini maana ya KUTEKWA.
Hawa ndio vijana wa Chadema hadhina ya taifa. Mungu amuweke sana huyu jamaa hakika hii video imefungua siku yangu vizuri sana.
REPOST 500
TUTAKUWEPO๐ซต๐
Polisi wamemkamata mtoto wa Siku 4 aliyesema ana ujumbe kwa Rais Samia
Mtoto huyo amemwambia mama yake, Samia ameacha njia ya uongozi bora
CHA Ajabu kukiwa na amani kabisa, polisi walikwenda na kumchukua huyo mtoto,
mama yake ajaonekana kuongozana na mtoto huyo
Samia asipoelewa ataeleweshwa tu
Recent political developments raise serious concerns about whether Tanzania can hold inclusive, and peaceful elections.
As a longstanding partner of the Tanzanian people, we urge all political parties and government institutions to avoid further escalation, engage in dialogue, and work together to ensure the Tanzanian people can choose their future leaders in accordance with Tanzaniaโs Constitution.
Free and fair elections conducted peacefully are crucial for achieving Tanzaniaโs goals of accelerating private sector-led growth, combatting corruption, and expanding trade and investment that benefits all citizens.
Madai ya #NoReformsNoElection yatapatikana Asubuhi TUKIAMUA!!Fikirieni itakuwaje endapo watu Laki Moja Wametinga Mahakamani Tarehe 24/04/2025 na Vazi hili la #KatibaMpya Wakiwa wamefunga Katambaa Cheupe na Chupa ya Maji ya Kunywa Mkononi?
REPOST.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kibamba, Viwanja vya Maramba mawili Mbezi, Leo 16 Aprili 2025.
#NoReformsNoElection
TunduLissu ni nani?Hivi sasa,akiwa amewekwa rumande kwa tuhuma za uhaini,jina la kiongozi huyu wa chama kikuu cha upinzani limerudi tena kwenye vichwa vya habari,lakini hii si mara ya kwanza. ni mtu wa historia ndefu Ili kumuelewa kwa undani ni muhimu kumtazama kwa jicho pana:
JOHN HECHE Makama Mwenyekiti Akitoa Hotuba Nzito Hii Leo. CCM Walijua Wakimpa Mwenyekiti TUNDU LISSU Kesi Ya Mchongo Ya UHAINI Watakua Wamemaliza.
CCM Safari Hii Mtanyooshwa! Mboga Moto, Ugali Moto, Sahani Ya Bati.
NO REFORM NO ELECTION