Bora wangedeka tu, lakini kwa vile wamekubali wenyewe hawataamini macho yao. Katika kipindi kama hiki tutawatupa rumande mpaka Jumamosi bila dhamana na hatuogopi kutupiwa yale mavitu yao๐๐๐โฝ๏ธโฝ๏ธ
Hivi Mtibwa Begi lao lilipotelea Manungu au...
BMT hawa nao wachunguzwe tu mana hii ni mchongo mchongo๐๐๐
Hawa Mtibwa tukikutana nao tunapiga hamsa @MtibwaSugar@mtibwaofficial @Ruvu_shootingFc @yangasc1935@DodomaJijiFC
Wanafunzi wa shule ya msingi Tumbi Kibaha Mkoani Pwani, wakifurahi na kipa wa Polisi Tanzania wakati timu hiyo ilipokuwa mazoezini leo asubuhi kwenye uwanja wa Shirika la elimu Kibaha kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu siku ya Jumapili.
https://t.co/8VBwQ7k3mv
Winga mnyumbulikaji Emmanuel Manyanda amejiunga na Vijana wa IGP Simon Sirro @ClubPolisi akitokea kwa walima alizeti Singida FC kwa mkataba wa miaka miwili.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu" https://t.co/ppL0dpHssJ
Kwa furaha kubwa tunapenda kumtambulisha Winga Rashid Juma kutoka Simba SC.
Rashid amekuja kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Ni mchezaji mwenye kipaji na tunaamini akiwa hapa @ClubPolisi atafanya vizuri zaidi.
Karibu sanaโฆ https://t.co/42yqACgkmR
Mchezaji kinda Kassim Shaban Haruna amejiunga na kikosi chetu kwa mkataba wa miaka miwili.
Kassim alikuwa nahodha katika timu ya Sahare ya Tanga na alionyesha kiwango ambacho kimewaridhisha Viongozi na benchi letuโฆ https://t.co/fa3OrGsxtr
Mshambuliaji Ramadhan Kapera amejiunga na klabu yetu ya @ClubPolisi kama mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.Msimu uliopita alichezea KMC
Kapera ni mmoja wa washambuliaji wenye kasi na nguvu, benchi la ufundiโฆ https://t.co/em0zXRooaW
Mshambuliaji Ramadhan Kapera amejiunga na klabu yetu ya @ClubPolisi kama mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.Msimu uliopita alichezea KMC
Kapera ni mmoja wa washambuliaji wenye kasi na nguvu, benchi la ufundiโฆ https://t.co/yCbiEklVDL
USAJILI 2020/2021.
Muda siyo mrefu tutaanza kutangaza Wachezaji wapya tuliowasajili, walioongeza mikataba na Waliojiunga na @ClubPolisi kwa mkopo.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu"
@tplboard@vodacomtanzania azamsports2โฆ https://t.co/iNFArB41XI
Hawa ni wachezaji ambao hatutakuwa nao katika msimu ujao,
Tunawashukuru kwa kipindi chote tulipokuwa nao katika kikosi chetu na tunawatakia mafanikio mema.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu"
azamsports2 @tanfootballโฆ https://t.co/SgOdAMMoKJ