Mtu akifikisha miaka 30 tunasema ameuanza uzee, lakini akifa na miaka 30 tunasema amefariki mdogo sana, usiruhusu mtu yeyote kukupresha ktk maisha yako. ukiwa na rafiki tajiri hiyo haikufanyi na wewe kuwa tajiri, ila ukiwa na rafiki mwizi jamii inakutambua kama na wewe ni mwizi.
@TMnyama4_ Mimi huyo napiga chini hakunaga moja kwenye mbili kashindwa kujiua yeye atakuua wewe, anayesema miaka mitank kwanini hujamuoa ukute hata yeye ni mtoto wa nje ya ndoa ndoa sio masihara kuongea rahisi ingia ndani ukione cha motoo
@TMnyama4_ Sio mbaya tunza nguvu mkuu huwezi mpata mkamilifu kakufundisha tu kuwa hayo mambo yanatokea ujue yapo ukivumilia hilo likitokea lingine utakuwa umeshaweza kistahimili msamehe maisha yaendelee