@joharimshana Wewe na waliokutuma mnajiaibisha, mnazusha uongo, tumewachoka. Huyu mtu hamumjui, mnachanganya habari, waongo wakubwa nyinyi. Kwa mnavyomuharibia huyu kipenzi cha watu, mnataka muangamize wengi. Hatutawaruhusu mharibu maisha ya wengi, tutawashughulikia. Tutawapiga kazi nzito
@RickyJaduong86 Umejuaje amepewa ubalozi? Kwanini mnazua taharuki? Acha kuishi katika mawazo ya Rais. Acha kutaka Rais afanye mnayotaka. Acha kutumika. Acha Rais aongoze kwa utulivu. Aliekutuma anajua wema wa Waziri, kwanini anamfanyia Husda? Jiulize. IPO siku atakufanyia ubaya na wewe.
@KatibaMpyaTz_ Huu ni muendelezo wa maandiko ya kizushi ambapo hamna data wala ushahidi, sasa hakuna namna Watanzania tukaamini taarifa mfu Kama hii. Kuna mambo makubwa ya kufuatilia kuliko andiko la majitaka lililojaa uzushi na chuki binafsi
Mchakato wa manunuzi wa ndege ya Rais haufanyiki kienyeji kama unavyosema. Unahisisha mamlaka na vyombo zaidi ya kimoja. Mamlaka as vyombo hivyo visipohusika Rais hawezi kutumia hiyo ndege. Rais ni Taasisi.
NDEGE MPYA YA RAIS - IKO WAPI?
Hili suala la ndege mpya kununuliwa niliweka mapema mwaka jana ila inaonekana pamoja na ushauri wa wahusika wazito ndani ya serikali kuwa ndege isiletwe kabla ya uchaguzi 2025, Mr Mapete kakileta kinyemela π
Yaani manunuzi hadi customization kaisimamia mtu mmoja badala ya taasisi ya Tanzania Govt Flight Agency (TGFA) ! Hii hata kiusalama haijakaa sawa!
Pia malipo kama haya huwa yanatakiwa kuwa wazi ili kuondokana na rushwa ila hazieleweki! Kodi zetu hizi ati!
Muhimu mianya yote izibwe na vyeo kama ya Chief Secretary na wengine viheshimiwe kisheria na kikatiba!
Eniwei #TutaelewanaTu
@MariaSTsehai kama wanaokulisha taarifa wanakupa taarifa za uongo kiasi hiki ujue wanafanya makusudi ili uonekane kituko. Sasa kwa taarifa unazotoa saivi watu hawakuamini
@KatibaMpyaTz_ Maria dada yangu, ndio umefikia hapa? Nilikuwa kijiweni, kutokana na post zako za hivi karibuni watu wanaona post zimejaa taarifa zisizo sahihi, taarifa ni potofu, za uzushi. Yani wanaokupa taarifa wameshindwa kukueleza kuwa Rais anaenda Cuba?
@MariaSTsehai Sio jambo la kufurahi viongozi wa dini wakijibizana, au kurushiana maneno. Na ikitokea hawajajibizana, isitengenezwe sinema kuonekana wamefanya hivyo. Dini isitumike kurahisisha ajenda binafsi/za_kisiasa, italeta mgawanyiko au mpasuko. Hili eneo tuwe makini.
@MariaSTsehai@ccm_tanzania@SuluhuSamia Mbona simple dada, si wanapata ruzuku kama vyama vingine? Kupanga ni kuchagua. Wengine wanaruka na chopa, wao wameamua kununua pikipiki.
@MariaSTsehai Katibu wa Rais asipokuwa bega kwa bega na Rais ina maana unatuhabarisha kuwa ADC (mpambe wa Rais) au Katibu Mkuu Kiongozi (Kiongozi wa Kamati ya Kitaalamu ya Makatibu Wakuu) ndio awe anawasilisha ujumbe wa Rais kwa machineries zake? Mgawanyo wa majukumu upoje hapo dada?Tuelimishe
@MariaSTsehai Sambamba na hilo dada yetu, Rais akitoa maelekezo kwenda kwenye machineries zake, anaziwasilisha kupitia nani? Sio huyu Katibu wa Rais ndio mwenye majukumu hayo kufikisha ujumbe wa Rais kwenye machineries hizo? Naomba utupe elimu kwenye hilo hapo dada
@MariaSTsehai Hahaha wanakuchoresha, wanakukaririsha uongo hivyo wewe ndio unaonekana muongo. Mpaka Mshauri wa Rais masuala ya uchumi anawashangaa na kuwacheka, hajawahi kukosekana kwenye safari ya Rais. Pia anaepanga wa kusafiri na Rais sio Katibu wake, kasomeni majukumu ya Katibu wa Rais.
@MariaSTsehai Hahahahha dada nasikia upo nchi jirani, sema wewe mjanja sanaπ, unawatia ndimu wenzako halafu unawachora kiainaπππ, smart move, endelea kuwacheka, vuta zako mpunga, acha hawa wengine wajitekenye na kijichekesha
@KatibaMpyaTz_@AbdulAmeir Sema huyu jamaa anawatoa jasho πππ, yeye mmoja mmemvalia njuga, halafu mwenzenu wala hana habari. Sasa dada utumie ile account yako. Hii unajichoresha foreigner ππ
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Dah kweli hoja zimeisha, sasa zimeanza personal attacks. Mawaziri tu wapo na Makatibu wao muda wote. Yani Rais ambapo ni taasisi ni changamoto kuwa a Katibu wake? Mbona kwa namna niliyodhania ulivyo hii ni too low kwako? Kumbe nawe ni hater for no reason?