Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
‼️🚨THE END OF A REGIME IS NIGH‼️
Deputy Minister Hamis Mwinjuma whose stage name is Mwana FA took to the stage today to celebrate 30 years of Tanzanian hip hop known as Bongo Fleva
The minute he mentioned “the government” the Gen Z crowd booed him mercilessly until he had to leave the stage!
Samia Suluhu and her illegitimate govt are deeply unpopular but that is now the news! What is astoundingly clear is that the crowd that gathered for a rare entertainment moment turned collectively and openly so hostile at the mention of the government! The rejection is not only bar conversations or social media posts but now expressed fearlessly in public
When I say #SamiaMustGo it is not only my opinion but an urgent and necessary step to resolve this crisis in #Tanzania
Ninarudia mwisho wenu umefika Samia Suluhu na CCM - lini mmewahi kuona serikali ikikataliwa kwa kiwango hiki bila woga! Mnatutukana na kututisha ila tunazidi kutambua nguvu yetu kama umma na mkikaza fuvu kuna siku mtapopolewa mawe au makopo na kufukuzwa kwa aibu!
Nchi siyo kiosk yenu Kizimkazi
Hakuna amani hadi kimama kiondoke na tupate serikali ya mpito na hatua ya kwanza ni #FreeTunduLissu 🔥
Nasema #TutaelewanaTu
Makonda ukimtaja ni kama umemtaja shetani 🤣🤣
Eee basi basi!
Leo ndo wamejua watanganyika tukiamua hatutetereki!
Serikali haramu imekataliwa LIVE 🔥
Ndo nasema #TutaelewanaTu
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁
‼️HABARI MBAYA‼️
Leo ni siku ya sita Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke linaendelea kumshikilia Pendo Kileo, Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi kinyume cha Sheria mpaka sasa hawajaruhusu aonane na mtu yeyote, hawataki kumuachia wala kumpeleka Mahakamani.
Julai 3, 2026 Pendo alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba maeneo ambako anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo.
Julai 4, 2026 akapigiwa simu na Polisi wa Chang’ombe wakamwambia kwamba aende ili waweze kumpatia mtaalam ambae ataenda nae kuangalia na kuchukua hiyo CCTV footage.
Sasa badala ya kupewa msaada ambao aliitiwa , Polisi walimkamata na kumuweka ndani hadi Leo.
#FreePendoKileo
. @tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN@UN
Please don’t fall for this so-called “reconciliation.” There has been no reconciliation in Tanzania.
ACT Wazalendo was formed by former President Jakaya Kikwete to weaken the country’s main opposition party, @ChademaTZ2. In Tanzania, people even refer to ACT Wazalendo as “CCM B” because it is seen by every Tanzanian as an extension of the ruling CCM rather than a true opposition party.
In fact, ACT Wazalendo participated in the October 29 election. So what exactly are they claiming to be reconciling? These two parties have long worked closely together.
You will not find a single Tanzanian who considers ACT Wazalendo a genuine opposition party. It is viewed as a political vehicle used by CCM to divide and weaken the real opposition.
SWAHILI
@tedcruz@SFRCdems@SenateForeign@SenatorShaheen
Tafadhali msidanganywe na hiki kinachoitwa “maridhiano.”. Hakuna maridhiano yaliyofanyoka Tanzania.
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa na Rais wa zamani Jakaya Kikwete kwa lengo la kudhoofisha chama kikuu cha upinzani, @ChademaTZ2. Nchini Tanzania, wengi hukiita ACT Wazalendo “CCM B” kwa sababu kinaonekana kuwa ni mwendelezo wa CCM badala ya kuwa chama halisi cha upinzani.
Isitoshe, ACT Wazalendo kilishiriki uchaguzi wa Oktoba 29. Kwa hiyo, wanapatanishwa kuhusu nini hasa? Vyama hivi viwili vimekuwa vikifanya kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Utapata ugumu sana kumpata Mtanzania anayekiona ACT Wazalendo kama chama cha kweli cha upinzani. Watanzania wengi hukiangalia chama cha ACT Wazalendo kama chama kinachotumiwa na CCM kugawa na kudhoofisha upinzani wa kweli.