Kwanini unaweka pesa bank? Pesa zenyewe za madafu, ukigundua Siri hii utaenda kutoa pesa zako Leo hii
Inflation ni 4.5% kwa mwaka
Kama ukiweka pesa bank kwa mwaka mmoja mfano 1M itakuwa imepoteza nguvu ya manunuzi kwa 45000
Ada za bank tufanye 3000 kwa mwezi sawa na 36000 kwa mwaka
Kwahiyo, pesa yako inapokaa bank hasa kwenye savings account inapoteza thamani
Unajua hata ukinunua HISA za million 1 kwa mwaka ukapata gain ya 7% Utakuwa umepata 70000-45000 (thamani iliyopotea)
Kimahesabu ukiwa na pesa za madafu zifanye kuwa mbegu, kuna Mahali ukiweka 1M kwa mwaka unaweza pata 2-3 na 1M kila mwaka kama faida kwa miaka kadhaa mbele
Full Name: Lela Star
Date of Birth: June 13, 1985
Age: 40 years old (as of April 2026)
Birthplace: Cape Coral, Florida, USA 🇺🇸
Nationality: American
Profession: Actress, Model, and Entrepreneur
Marital Status: Unmarried
Physical Appearance
• Height: 5'1" (Approx. 155 cm)
• Weight: Approximately 50 kg
• Eye Color: Brown
• Hair Color: Brunette
Net Worth & Impact
• Net Worth: Estimated $2–$3 Million+ USD
• Lela Star has built a strong personal brand over the years, gaining widespread recognition and maintaining a loyal fanbase through her work and business ventures. ✨
#TajiriLaKihaya
Ufaham kwamba JAMBAZI wakitaka kukuvamia NYUMBANI kwako - watakuvamia tu… wakihitaji Milion zao watakuja tu kuzifata!
Ila Tukijenga Nyumba , tunaweka milango, tunaweka Geti kubwa kwenye fence,Tunazungusha Ukuta… ikibidi tunaajiri na Masai kabisaaa hata kama Hana silaha…
Ni kweli Mungu Anatulinda ila hatumuachii bila kufanya chochote-
Vivyo hivyo Kwa wake zetu-
Ni kweli kwamba mwanamke kama ni kahaba au Hakuheshimu na Akiamua kucheat kwenye ndoa atacheat tu!
Ila Tunamtengenezea mazingira ya kumlinda na kumuepusha na vishawishi vya nje-
Kwanza kabisaa ni kabla Haujao- unachagua Mke atakae Kua Mama Bora kwa watoto wako na Mlezi wa familia- awe BIKRA, ukishindwa basi Asiwe SINGLE MOTHER, na atoke kwenye familia nzuri- awe kalelewa na maadili mazuri- ikiwezekana na wazazi wake wawili Haswa BABA.
Pili,Hakikisha anakua House wife- hata kama ni msomi- kazini kuna vishawishi vingi saana- unam Expose mke wako na threats nyingi saana kule kazini…
Mke kazi yake kuu ni KUZAA KWA UCHUNGU na kulea familia… Mwanaume KATAFUTE RIZKI KWA JASHO…
Mwanaume ukishakubali kwenda kinyume na maandiko na kufata Mila za kizungu za 50-50 tayari Ushapotea na Ndoa imeshakushinda!
Wanaume tuyakubali majukumu na tuwalinde wake zetu kwa wivu mkubwa mno!
Udereva wa Malori kwa Hizi Trip za Dsm-DRC au Transit kwa Ujumla Dereva kama hana Mambo mengi akijimake Fresh ndani ya Miaka Miwili au Mitatu Anaweza Miliki Chuma Yake ya Masafa yaaani akawa anaokota hata hata hizi Buy One za Local Dsm-Katavi/Mwanza .,Wanetu Mnafeligi Wapi Kwani 😅🤷🏿♂️
Ndo maana siku hizi Mabumunda ni mengi, malawama na vilio. Watu ukiwaambia walipie Mentorship (Walipie taarifa sahihi) wanasema "Kwanini usifanye Free. Hiyo ni scam"😂
Akitokea mtu ametangaza Free mentorship yanajazana Yanaona mwamba ndio Genuine🤣 Kumbe yanapigwa. Yanasoma siku nne tano yaambiwa yadeposit😂😂😂😂.
Nikiscroll nikikutana na hizo posts huwa najiuliza, hii Forex ambayo mimi nafundisha na kumjenga Mtu mwaka mzima ndio hii wanaambiwa watakuwa profitable for a Free mentorship ya 5 Days😂😂💔💔??