Wazee hizi pia zipo sina shughuli nyingine nioneni na mimi
Koti na suruali 170k
Full package kama ilivyo hapo 210k🛍️
☎️0746712192
📍MSIMBAZI B DDC
Msaada wa RT ifike mbali🙏🏿
Kuna uwezekano mkubwa sana tukashinda dau nono around milioni kumi Jumatatu hii pale Sportybet. Goli moja lipatikane kila mechi, Jumla ya Mechi ni 50.
Mkeka una odds 327+
Stake👉31K | Payout👉10.2M
Retweet upewe Code mapema
BREAKING NEWS: Eid Al Fitr 1446/2025 is tomorrow: Sunday, 30 March 2025
The Crescent for the month of Shawwal 1446 was SEEN in Saudi Arabia today subsequently tomorrow is the beginning of the month of Shawwal 1446
BREAKING NEWS | The crescent moon has been sighted in Saudi Arabia. #EidAlFitr will be celebrated on Sunday, 30th March 2025.
May Allāh accept our siyām, qiyām & a'māl & may He allow us to witness many more Ramadāns in good health. Āmīn.
Leo ni Siku ya Kunawa Mikono Duniani👏🏿
Kunawa mikono kunapunguza maambukizi ya magonjwa mengi ikiwemo magonjwa ya kuhara na ya mfumo wa upumuaji.
Wakati wa mlipuko wa UVIKO-19 tulianza utamaduni ya kunawa mikono tukaona magonjwa ya kuambukiza yakipungua: TUENDELEZE HII! #whofides
Kila mtu anatakiwa ajue hizi dalili za hatari wakati wa ujauzito.
Kuanzia mama mjamzito, mwenza wake, watu wake wa karibu na hata wewe ambaye unaweza kukutana na mama mjamzito barabarani; na iwapo ana dalili hizi basi PIGA 1️⃣1️⃣5️⃣ ☎️ kupata usafiri wa HARAKA. #okoamaisha@m_mamatz
Leo Tunapata Odds 12+ na odds 5 mechi zinaanza saa 12 Mwisho wa kupata mikeka hii ni saa 10 Jioni. Hii ni hela kabisa Usiiache please 🙏 Repost kisha weka comment tukusogezee mikeka hii ya uhakika dm kwako mapema kabisa @Samalentips ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️