@JamiiForums Akili zingine bhana mnawafunga ili iweje sasa?yaani kwa makusudi mnataka jamii iwe na watoto wa mtaani impact yake hugly hizi sheria inabidi zifanyiwe review
@ayubu_madenge Sina mashaka na nafasi aliyopewa, kabudi ni mtalaamu wa sheria cha msingi fanya kazi kwa weledi pasipo kufata maelekezo ya juu pia andaa mpango wa kuwa na mobile clinic ipite kila mkoa
Ndugu yangu @TheRealEkiswaga umepatwa na kitu gani? Upo timamu kweli? Au bado hujakaa sawa? Unaugua? Mtu mmoja unajigeuza-geuza katika jambo moja, haipendezi. Jisome, haupo sawa. ๐๐ฝ